Kuna muda bidhaa zako , zinahitaji kuelezewa kwa maandishi, kwa mfano unauza simu, labda simu toleo flani, unatamani jinsi unavyo fahamu ubora wake , uwaambie watu wajue na mwenye kununua anunue.
Sasa hivi kuna mitandao ya kijamii , kuna Facebook, TikTok, Instagram,X n.k watu wanaweka na kutangaza biashara zao huko.
Lakini kuna namna Bora ya kuweka maelezo ya bidhaa Yako yakadumu na kupata watembeleaji ambao wanaweza kuona maelezo ya bidhaa Yako kutoka kwenye google search au maelezo ya bidhaa yakapendekezwa na AI wakati mtu anatafuta bidhaa yenye maelezo.
Kwa kutumia website rahisi sana unaweza kuandika maelezo ya biashara Yako na yakadumu. Tofauti na kwenye Mitandao ya kijamii maudhui ya siku nyingi hupuuzwa na algorithms za mtandao,
Ubora wa Website hizi Rahisi ni kwamba siku zinavyo zidi kuwa nyingi ndio uwezekano unakuwa mkubwa wa maelezo Yako kutokea kwenye Search Engine.
Bahati mbaya watu wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu website rahisi, wengi wanao zijua wanatumia kwa kuweka maudhui Yao kwa lengo la siku Moja waombe matangazo kutoka Ads Network company kama Adsense n.k kwa kuwa makampuni haya website Yako ikisha kuwa na watembeleaji wengi wenye makampuni huvutiwa kwa ajili wanaweza kutangaza biashara zao.
Ubora wa kuweka maelezo ya biashara Yako au Bidhaa Yako kwenye tovuti hizi Rahisi inakupunguzia Ile Hali ya kumwelezea mtu kila mara kuhusu biashara au Bidhaa Yako flani.
Kwenye Mitandao ya kijamii inakuwa kazi sana kutafuta maelezo uliyo wahi kuyaweka ili kumpa mtu anaye hitaji kwa wakati huo. Hali inayo pelekea ili uwahi kumpatia maelezo anayo hitaji inabidi uandae tena.
Sasa website rahisi inakusaidia mara moja kuingia kwenye website Yako na kuchukua link ya maelezo Yako na kumpatia maelezo ambayo Yana picha kadhaa kwa ajili ya mtu kusoma na kuelewa.
Ili uwe na tovuti hii rahisi unahitaji kuwa na Smartphone au Computer. Na kitu Cha ziada ni ujuzi wa kutengeneza website hii rahisi ndani ya muda mfupi sana.
Unaweza kutengeneza mwenyewe au tuka kusaidia kutengeneza Kwa gharama ndogo Sana pamoja na mafundisho yaliyo zidi dakika kumi 10 ya namna ya kuweka maelezo ya biashara Yako au Bidhaa Yako
Unaweza kuwa na biashara inayo tatua matatizo na ni nzuri kushinda zingine ila haujawambia watu.
Kitu kingine Cha mwisho unaweza kupost Link ya bidhaa au biashara Yako kwenye Mitandao ya kijamii muda na wakati wowote bila kikomo kwa kuandika mara Moja tu kwenye tovuti rahisi hapa Mimi nimeandika kuhusu habari hii mara Moja lakini watu wengi wanaweza kuona maelezo haya muda wowote kuanzia leo, hata nikiwa nimelala
Wasiliana NAMI 0682329852 kwa maelezo Zaidi au nitumie neno TOVUTI RAHISI kwenye iyo WhatsApp ili
tuweze kuzungumza Zaidi.
Tazama hapa (tovuti rahisi) jinsi websites rahisi inavyo onekana katika picha za screenshot,(hivyo ndivyo tovuti yako itakuwa na utapata urahisi wa kueleza jambo mara moja na uka share Kwa watu wengi kwa kadiri unavyoweza nchi mbali huwa wanapenda sana kulipia matangazo kwenye Mitandao ya kijamii ili yule mwenye kuhitaji sana abonyeze Link na kwa kubonyeza Link mfanyabiashara anatambua kwamba Sasa tangazo langu la ama Facebook limewafikia watu kadhaa Lakini walio kuja kwenye tovuti yako rahisi ni kadhaa mfano Facebook reach 30,000 walio kuja 3,000
Na ukumbuke kama ilivyo mganga hufuatwa vijijini ndio sawa na hao 3000 kwamba hao ndio ulio wagusa.
Hivyo tovuti rahisi inasaidia pia kutambua kiwango Cha wewe katika watu)
Hebu tazama mwenyewe







0 Comments